BAADA ya gari kusimama pembeni na kutakiwa
watawa wote waliokuwa kwenye gari kushuka, Sister Anna alipinga kitendo
cha kushushwa kwenye gari.
“Jamani hivi watumishi wa Mungu wanaweza kuwa wauaji?”
“Sister hili ni agizo la mheshimiwa rais kuwakagua wote wanaopita njia hii, hasa baada ya mtuhumiwa kuonekana bonde la Kizugo. Sehemu yote ya mapori kumetanda wanajeshi kwa hiyo kila atakapokimbilia lazima ashikwe.”
“Sasa sisi tunahusika vipi na mtu huyo?”
“Sister we wasiwasi wako…

Added by GLOBAL on June 9, 2014 at 8:00am —
9 Comments
A Saint and a Ghost (Mtakatifu na Mzimu) - 94
Mfululizo wa matukio ya ajabu
unaendelea kuyatawala maisha ya msichana mdogo, ambaye maisha yake
yametawaliwa na usiri mkubwa. Kwa kumtazama, huwezi kugundua chochote
kilichojificha nyuma ya maisha yake kwani uzuri wa sura yake, upole na
urembo wake, vinamfanya aonekane hana hatia machoni mwa watu.
Hata hivyo, kuna siri kubwa iliyojificha nyuma ya maisha yake ambayo ameishi nayo kwa kipindi kirefu. Ukweli ambao hakuna anayeujua ni kwamba msichana…
Hata hivyo, kuna siri kubwa iliyojificha nyuma ya maisha yake ambayo ameishi nayo kwa kipindi kirefu. Ukweli ambao hakuna anayeujua ni kwamba msichana…

Added by GLOBAL on June 9, 2014 at 7:00am —
7 Comments
True Memories Of My Life [Kumbukumbu za Kweli za Maisha Ya Shigongo] - 82
HII ni historia ya kweli ya maisha
yangu, kuna baadhi ya watu nakutana nao wananiuliza kama hii ni hadithi
kama ambazo nimekuwa nikiandika magazetini. Nataka nisisitize kwamba hii
ni historia ya kweli kabisa ya maisha yangu, najaribu kuyapitia maisha
yangu ya nyuma na kuwaandikia watu kule nilikopitia.
Lengo langu ni nini? Kumtia moyo mtu aliyevunjika moyo na kumfanya aamini inawezekana kufanikiwa hata kama unatoka familia masikini. Nayasema haya kwa sababu…
Lengo langu ni nini? Kumtia moyo mtu aliyevunjika moyo na kumfanya aamini inawezekana kufanikiwa hata kama unatoka familia masikini. Nayasema haya kwa sababu…

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni